Proverbs 12:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Udhia wa mpumbavu hujulikana mara, lakini mwerevu huyapuuza matukano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpumbavu huonesha kuudhika kwake mara moja, bali mtu wa busara hupuuza matukano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ghadhabu ya mpumbavu hujulika mara; Bali mtu mwerevu husitiri aibu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Udhia wa mpumbavu hujulikana mara, lakini mwerevu huyapuuza matukano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara, bali mtu wa busara hupuuza matukano.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, bali mtu wa busara hupuuza matukano.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ghadhabu ya mpumbavu hujulikana mara; Bali mtu mwerevu husitiri aibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Udhia wa mpumbavu hujulikana mara, lakini mwerevu huyapuuza matukano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mjinga hujulikana kwa kukasirika papo hapo, lakini aerevukaye huziba masikio akitukanwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ghadhabu ya mpumbavu hujulika mara; Bali mtu mwerevu husitiri aibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujinga wa mupumbafu unajulikana mara moja, lakini mwerevu anazarau matusi.