Proverbs 12:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Mwenyezi Mungu, bali Mwenyezi Mungu humhukumu mwenye hila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mwema atapata upendeleo kwa Bwana; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa BWANA, bali BWANA humhukumu mwenye hila.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa bwana, bali bwana humhukumu mwenye hila.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwema hufadhiliwa na Mwenyezi-Mungu, lakini mwenye nia mbaya hulaaniwa na Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwema hujipatia upendeleo kwake Bwana, lakini mwenye mawazo mabaya humpatiliza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mwema atapata upendeleo kwa BWANA; Bali mtu wa hila atahukumiwa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu muzuri anapata rehema za Yawe, lakini mwenye nia mbaya analaaniwa na Mungu.