Proverbs 12:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu hawapatwi na jambo lolote baya, lakini waovu wamejaa dhiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki hatapatikana na msiba wo wote; Bali wasio haki watajazwa mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu hawapatwi na jambo lolote baya, lakini waovu wamejaa dhiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakuna dhara linalompata mwenye haki, bali waovu wana taabu nyingi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki hatapatikana na msiba wowote; Bali wasio haki watajazwa mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu hawapatwi na jambo lolote baya, lakini waovu wamejaa dhiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu hapatwi na mapotovu yo yote, lakini wasiomcha Mungu hujaa mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki hatapatikana na msiba wo wote; Bali wasio haki watajazwa mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wenye haki hawapatwi na jambo lolote baya, lakini waovu wanapata hasara nyingi.