Proverbs 12:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini watu waaminifu ni furaha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Midomo ya uongo ni chukizo kwa Bwana; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini watu waaminifu ni furaha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anachukia sana midomo idanganyayo, bali hufurahia watu ambao ni wa kweli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Midomo isemayo uongo ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini watu waaminifu ni furaha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Midomo ya uwongo humtapisha Bwana, lakini wafanyao yaliyo kweli humpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Midomo ya uongo ni chukizo kwa BWANA; Bali watendao uaminifu ndio furaha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kinywa kinachosema uongo ni chukizo kwa Yawe, lakini watu waaminifu ni furaha yake.