Proverbs 12:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali ya thamani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mvivu haoki mawindo yake, bali mtu mwenye bidii ana mali za thamani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwindaji mvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye uvivu hamkimbizi nyama wake wa kuwinda, lakini mali za mtu zilizo na kima ni kujihimiza kufanya kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mvivu hapiki mawindo yake; Bali mwenye bidii anazo mali za thamani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwindaji muvivu hatapata anachowinda, lakini mwenye bidii atafanikiwa.