Proverbs 12:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu hawi imara kwa kutenda maovu, lakini hakuna kiwezacho kumngoa mtu mwadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu hawi imara kwa kutenda maovu, lakini hakuna kiwezacho kumng'oa mtu mwadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu hawi imara kwa kutenda maovu, lakini hakuna kiwezacho kumngoa mtu mwadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna atakayeshupaa vema kwa kuacha kumcha Mungu, lakini mashina ya waongofu hayatang'oleka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu hatathibitika kwa njia ya uovu; Shina la mwenye haki halitaondolewa kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu hawezi kudumu katika kutenda maovu, lakini hakuna kitu kinachoweza kumwangusha mutu wa haki.