Proverbs 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno ya waovu lengo lake ni kuua, lakini maneno ya waadilifu huwaokoa wanaotishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno ya waovu lengo lake ni kuua, lakini maneno ya waadilifu huwaokoa wanaotishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maneno ya mwovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya mwadilifu huwaokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno ya waovu lengo lake ni kuua, lakini maneno ya waadilifu huwaokoa wanaotishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maneno yao wasiomcha Mungu huotea damu za watu, lakini vinywa vyao wanyokao huwaponya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno ya waovu huotea damu; Bali kinywa cha wanyofu kitawaokoa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno ya waovu shabaha yake ni kuua, lakini kinywa cha mutu wa usawa kinaokoa.