Proverbs 13:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwema hupata mema kutokana na maneno yake, lakini wadanganyifu huishi kwa ukatili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka tunda la midomo yake, mtu hufurahia mambo mema, bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwema hupata mema kutokana na maneno yake, lakini wadanganyifu huishi kwa ukatili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka katika tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka tunda la midomo yake mtu hufurahia mambo mema, bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwema hupata mema kutokana na maneno yake, lakini wadanganyifu huishi kwa ukatili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila mtu hula mema, kinywa chake kilichoyazaa, lakini roho zao wavunja maagano hula makorofi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu atakula mema kwa matunda ya kinywa chake; Bali nafsi ya mtu haini itakula jeuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu muzuri anapata uzuri kutokana na maneno yake, lakini mudanganyifu anaishi kwa kutesa kwa ukali.