Proverbs 13:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwadilifu anacho chakula cha kumtosheleza, lakini tumbo la waovu hutaabika kwa njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye haki hula hadi akaridhisha moyo wake, bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake; Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwadilifu anacho chakula cha kumtosheleza, lakini tumbo la waovu hutaabika kwa njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye haki hula mpaka akaridhisha moyo wake, bali tumbo la mwovu hutaabika kwa njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake; Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwadilifu anacho chakula cha kumtosheleza, lakini tumbo la waovu hutaabika kwa njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu hupata kula, hata aishibishe roho yake, lakini matumbo yao wasiomcha Mungu huona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki hula akaishibisha nafsi yake; Bali tumbo la mtu mbaya litaona njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye haki yuko na chakula cha kumutoshelea, lakini tumbo la waovu linataabika kwa njaa.