Proverbs 13:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuru ya mwenye haki hung’aa sana, bali taa ya mwovu itazimwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwadilifu hung'aa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nuru ya mwenye haki hung'aa sana, bali taa ya mwovu itazimishwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuru ya mwenye haki hung’aa sana, bali taa ya mwovu itazimwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nuru ya mwenye haki yang'aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwadilifu hungaa kama taa iwakayo vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanga wa waongofu huangaza kwa furaha, lakini taa zao wasiomcha Mungu huzimika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuru ya mwenye haki yang’aa sana; Bali taa ya mtu mbaya itazimika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye haki anaangaa kama vile taa inayowaka vizuri, lakini waovu ni kama taa inayozimika.