Proverbs 14:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo waujua uchungu wake wenyewe, wala mgeni hawezi kushiriki furaha yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo huujua uchungu wa nafsi yake, Wala mgeni haishiriki furaha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo waujua uchungu wake wenyewe, wala mgeni hawezi kushiriki furaha yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna ye yote awezaye kushiriki furaha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo huujua uchungu wa nafsi yake, Wala mgeni haishiriki furaha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo waujua uchungu wake wenyewe, wala mgeni hawezi kushiriki furaha yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wenyewe hujua uchungu wa roho yake, hata katika furaha yake mwingine hajitii humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo huujua uchungu wa nafsi yake, Wala mgeni haishiriki furaha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo unajua uchungu wake wenyewe, wala mugeni hawezi kushiriki furaha yake.