Proverbs 14:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huzuni yaweza kufichika katika kicheko; baada ya furaha huja majonzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata katika kicheko moyo unaweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata wakati wa kucheka moyo huwa na huzuni; Na mwisho wa furaha ni uzito wa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huzuni yaweza kufichika katika kicheko; baada ya furaha huja majonzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata wakati wa kucheka moyo huwa na huzuni; Na mwisho wa furaha ni uzito wa moyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huzuni yaweza kufichika katika kicheko; baada ya furaha huja majonzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata ukicheka, moyo unaweza kuumia, mara nyingi mwisho wa furaha ni majonzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata wakati wa kucheka moyo huwa na huzuni; Na mwisho wa furaha ni uzito wa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huzuni inaweza kufichwa katika kicheko; nyuma ya furaha kunakuja huzuni.