Proverbs 14:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwenye hekima humcha Mwenyezi Mungu na kuepuka mabaya, bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye hekima huogopa, akajitenga na uovu; Bali mpumbavu ana ufidhuli, na kujitumai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwenye hekima humcha BWANA na kuepuka mabaya, bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwenye hekima humcha bwana na kuepuka mabaya, bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye hekima hujihadhari, na kujitenga na uovu; Bali mpumbavu hupuuza yote, na hajali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye hekima ni mwangalifu na huepa uovu, lakini mpumbavu hajizuii wala hana uangalifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwerevu wa kweli huogopa, huepuka penye mabaya, lakini mjinga huchafuka, kisha huwaza, ya kuwa mambo yametulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye hekima huogopa, akajitenga na uovu; Bali mpumbavu ana ufidhuli, na kujitumai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye hekima ni mwangalifu na anaepuka uovu, lakini mupumbafu hajizuizi wala hana uangalifu.