Proverbs 14:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wajinga hurithi upumbavu, lakini wenye busara hutuzwa taji ya maarifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjinga hurithi upumbavu, bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wajinga hurithi upumbavu; Bali wenye busara huvikwa taji ya maarifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wajinga hurithi upumbavu, lakini wenye busara hutuzwa taji ya maarifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjinga hurithi upumbavu, bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjinga hurithi upumbavu, bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wajinga hurithi upumbavu; Bali wenye busara huvikwa taji la maarifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wajinga hurithi upumbavu, lakini wenye busara hutuzwa taji ya maarifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiojua kitu hujipatia ujinga, uwe fungu lao, lakini waerevukao huvikwa vilemba vya ujuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wajinga hurithi upumbavu; Bali wenye busara huvikwa taji ya maarifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wajinga wanarizi upumbafu, lakini wenye akili wanalipwa taji ya maarifa.