Proverbs 14:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu watapiga magoti mbele ya watu wema, watu wabaya mlangoni mwa waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapotovu watasujudu mbele ya watu wema, nao waovu kwenye malango ya wenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wabaya huinama mbele ya wema, Na wasio haki malangoni mwao wenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu watapiga magoti mbele ya watu wema, watu wabaya mlangoni mwa waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema, nao waovu kwenye malango ya wenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema, nao waovu kwenye malango ya wenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wabaya huinama mbele ya wema, Na wasio haki malangoni mwao wenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu watapiga magoti mbele ya watu wema, watu wabaya mlangoni mwa waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wabaya sharti wawainamie wema, nao wasiomcha Mungu sharti wasimame milangoni pao waongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wabaya huinama mbele ya wema, Na wasio haki malangoni mwao wenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu watapiga magoti mbele ya watu wazuri, watu wabaya kwenye mulango wa wenye haki.