Proverbs 14:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha Mwenyezi Mungu, bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha BWANA, bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ambaye njia zake ni nyofu humcha bwana, bali yeye ambaye njia zake zimepotoka humdharau Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ashikaye njia inyokayo humcha Bwana, lakini azipotoaye njia zake humbeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye aendaye kwa unyofu wake humcha BWANA; Bali aliye mkaidi katika njia zake humdharau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye mwenendo sawa anamwogopa Yawe, lakini mupotovu anamuzarau Mungu.