Proverbs 14:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana rafiki wengi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana rafiki wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana marafiki wengi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maskini huepukwa hata na majirani zao, bali matajiri wana marafiki wengi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana marafiki wengi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana marafiki wengi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hata rafiki yake humchukia maskini, lakini wampendao mwenye mali ni wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maskini huchukiwa hata na jirani yake; Bali tajiri ana rafiki wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Masikini anachukiwa hata na jirani yake, lakini tajiri ana warafiki wengi.