Proverbs 14:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hawakosi wawazao mabaya? Bali fadhili na kweli zina wao wawazao mema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, wale wanaopanga ubaya hawapotoki? Bali wale wanaopanga kilicho chema hupata upendo na uaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hawakosi wawazao mabaya? Bali fadhili na kweli zina wao wawazao mema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayepanga maovu kweli anakosea! Wanaopanga kutenda mema hufadhiliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Wawazao mabaya hawapotei? Lakini wawazao mema hujipatia upendeleo wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hawakosi wawazao mabaya? Bali fadhili na kweli zina wao wawazao mema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayepanga kutenda maovu kweli anakosa! Wanaopanga kutenda mazuri watapata mema na uaminifu.