Proverbs 14:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utajiri wa wenye hekima ni taji lao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Taji ya wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Taji la wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mali ni taji ya fahari ya wenye hekima, lakini ujinga ni shada la wapumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwao werevu wa kweli mali zao ni kama kilemba, lakini ujinga wa wapumbavu huwa ujinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Taji ya wenye hekima ni mali zao; Bali upumbavu wa wajinga ni upumbavu tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mali ni taji ya utukufu wa wenye hekima, lakini ujinga ni kitambaa cha wapumbafu.