Proverbs 14:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amchaye Mwenyezi-Mungu ana tumaini imara, na watoto wake watapata kimbilio salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye amchaye Mwenyezi Mungu ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amchaye Mwenyezi-Mungu ana tumaini imara, na watoto wake watapata kimbilio salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amchaye BWANA ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amchaye bwana ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amchaye Mwenyezi-Mungu ana tumaini imara, na watoto wake watapata kimbilio salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimcha Bwana analo egemeo lenye nguvu, nao wanawe wanapo pao pa kukimbilia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ni tumaini imara; Watoto wake watakuwa na kimbilio.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemwogopa Yawe ana tumaini imara, na watoto wake watapata kimbilio salama.