Proverbs 14:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, ikimwepusha mtu na mitego ya mauti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni chemchemi ya uhai; humwezesha mtu kuepa mitego ya kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kumcha Bwana ni kisima cha uzima, tena ni kuondoka penye matanzi ya kifo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe ni chemichemi ya uzima inayowezesha mutu kuepuka mitego ya kifo.