Proverbs 14:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye dharau hutafuta hekima bure, lakini mwenye busara hupata maarifa kwa urahisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye dharau hutafuta hekima, asiipate; Bali maarifa huwa mepesi kwa mwenye ufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye dharau hutafuta hekima bure, lakini mwenye busara hupata maarifa kwa urahisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye mzaha huitafuta hekima na haipati, bali maarifa huja kwa urahisi kwa anayepambanua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye dharau hutafuta hekima, asiipate; Bali maarifa huwa mepesi kwa mwenye ufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye dharau hutafuta hekima bure, lakini mwenye busara hupata maarifa kwa urahisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfyozaji akitafuta werevu wa kweli haupati, lakini mtambuzi hupata upesi kujua maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye dharau hutafuta hekima, asiipate; Bali maarifa huwa mepesi kwa mwenye ufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye mazarau anatafuta hekima naye haipati, lakini mwenye akili anapata maarifa kwepesi.