Proverbs 14:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka katika dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wapumbavu huchekelea dhambi, bali wanyofu hupata fadhili kwa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajinga hufyoza wakikora manza, lakini wanyokao hupendezana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wapumbavu huidharau hatia; Bali upo upendeleo kwa wenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wapumbafu wanafurahia zambi, lakini watu wa usawa wanapata rehema kwa Mungu.