Proverbs 15:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adhabu kali ipo kwa wanaoacha mwenendo mwema; yeyote achukiaye kuonywa atakufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adhabu kali ina yeye aiachaye njia; Naye achukiaye kukemewa atakufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adhabu kali ipo kwa wanaoacha mwenendo mwema; yeyote achukiaye kuonywa atakufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia, yeye achukiaye maonyo atakufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhabu kali humngoja yeye aachaye njia; yeye achukiaye maonyo atakufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adhabu kali ina yeye aiachaye njia; Naye achukiaye kukemewa atakufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adhabu kali ipo kwa wanaoacha mwenendo mwema; yeyote achukiaye kuonywa atakufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ayaachaye mapito yampasayo hupata mapigo mabaya, achukiaye kukanywa hufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adhabu kali ina yeye aiachaye njia; Naye achukiaye kukemewa atakufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azabu kali ni kwa wanaoacha mwenendo mwema; yeyote anayechukia kuonywa atakufa.