Proverbs 15:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa Mwenyezi-Mungu ajua yaliyo Kuzimu na Abadoni, mawazo ya binadamu yatawezaje kujificha mbele yake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mauti na Uharibifu viko wazi mbele za Mwenyezi Mungu: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuzimu na Uharibifu vi wazi mbele za Bwana; Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa Mwenyezi-Mungu ajua yaliyo Kuzimu na Abadoni, mawazo ya binadamu yatawezaje kujificha mbele yake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mauti na Uharibifu viko wazi mbele za BWANA, je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mauti na Uharibifu viko wazi mbele za bwana: je, si zaidi sana mioyo ya wanadamu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuzimu na Uharibifu viko wazi mbele za BWANA; Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa Mwenyezi-Mungu ajua yaliyo Kuzimu na Abadoni, mawazo ya binadamu yatawezaje kujificha mbele yake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuzimu nako, wafu wanakopotelea, kuko mbele ya Bwana; tena je? Mioyo ya wana wa Adamu haitakuwa wazi zaidi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuzimu na Uharibifu vi wazi mbele za BWANA; Si zaidi basi, mioyo ya wanadamu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa Yawe anajua kuzimu na shimo la kuangamia, mawazo ya mwanadamu yataweza namna gani kujificha mbele yake?