Proverbs 15:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Mwenyezi Mungu, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuwa na mali chache pamoja na kumcha Bwana; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha BWANA, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha bwana, kuliko mali nyingi pamoja na ghasia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali kuwa na kidogo na kumcha Mwenyezi-Mungu, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Machache yake amwogopaye Bwana ni mema kuliko malimbiko mengi yamhangaishayo mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kuwa na kidogo na kumwogopa Yawe, kuliko kuwa na mali nyingi pamoja na taabu.