Proverbs 15:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo, kuliko nyama ya ndama aliyenona pamoja na chuki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chakula cha mboga penye mapendano; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Afadhali chakula cha mboga mahali palipo na upendo kuliko nyama ya ndama iliyonona pamoja na chuki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chakula cha mboga palipo na upendo; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali mlo wa jioni wa mchicha na upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kula maboga na mtu wa kupendana naye ni kwema kuliko ng'ombe ya manono, ukila na mtu wa kuchikzwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chakula cha mboga penye mapendano; Ni bora kuliko ng’ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali kula mboga za majani kwa upendo, kuliko karamu ya nyama nono pamoja na chuki.