Proverbs 15:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wa mwenye hekima husifu maarifa, bali kinywa cha mpumbavu hufoka upumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulimi wa mwenye hekima hueneza maarifa, lakini watu wapumbavu hububujika upuuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndimi zao walio werevu wa kweli husema ujuzi mwema, lakini vinywa vya wapumbavu hububujika ujinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulimi wa mwenye hekima hutamka maarifa vizuri; Bali vinywa vya wapumbavu humwaga upumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulimi wa mwenye hekima unaeneza maarifa, lakini watu wapumbafu wanamwanga maneno ya ujinga.