Proverbs 15:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoa jibu sahihi hufurahisha; neno lifaalo kwa wakati wake ni jema mno!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoa jibu sahihi hufurahisha; neno lifaalo kwa wakati wake ni jema mno!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoa jibu sahihi hufurahisha; neno lifaalo kwa wakati wake ni jema mno!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu hufurahia jibu jema la kinywa chake, nalo neno lisemwalo panapopasa ni zuri zaidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu hulifurahia jibu la kinywa chake; Na neno linenwalo wakati wa kufaa ni jema kama nini!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoa jibu zuri kunafurahisha; neno linalofaa kwa wakati wake ni jema sana!