Proverbs 15:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huyabomoa makao ya wenye kiburi, lakini huilinda mipaka ya makao ya mjane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ataing'oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huyabomoa makao ya wenye kiburi, lakini huilinda mipaka ya makao ya mjane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ataing'oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huyabomoa makao ya wenye kiburi, lakini huilinda mipaka ya makao ya mjane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumba zao wenye majivuno Bwana huzibomoa, lakini mipaka ya wajane huishupaza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ataing’oa nyumba ya mwenye kiburi; Bali atauthibitisha mpaka wa mjane.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anabomoa makao ya wenye kiburi, lakini analinda mipaka ya makao ya mujane.