Proverbs 15:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mashauri mabaya ni chukizo kwa Bwana; Bali maneno yapendezayo ni safi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huchukia sana mawazo ya mwovu, bali mawazo ya wale walio safi humfurahisha yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ushauri mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, bali maneno mema humfurahisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mawazo ya wabaya humtapisha Bwana, lakini maneno yampendezayo ndiyo yatakatayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mashauri mabaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maneno yapendezayo ni safi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mawazo ya mwovu ni chukizo kwa Yawe, lakini maneno mema yanamufurahisha.