Proverbs 15:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana yu mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA yuko mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huwakalia mbali wasiomcha, lakini malalamiko ya waongofu huyasikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA yu mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anajiweka mbali na watu waovu, lakini yuko karibu na wenye haki kwa kuwasikiliza.