Proverbs 15:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni shule ya hekima; kabla ya kuheshimika ni lazima kuwa mnyenyekevu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumcha Mwenyezi Mungu humfundisha mtu hekima, nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kumcha Bwana ni maonyo ya hekima; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni shule ya hekima; kabla ya kuheshimika ni lazima kuwa mnyenyekevu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumcha BWANA humfundisha mtu hekima, nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumcha bwana humfundisha mtu hekima, nao unyenyekevu huja kabla ya heshima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kumcha BWANA ni maonyo ya hekima; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni shule ya hekima; kabla ya kuheshimika ni lazima kuwa mnyenyekevu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amchaye Bwana huonyeka, ajipatie werevu wa kweli, nayo macheo hutanguliwa na unyenyekevu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kumcha BWANA ni maonyo ya hekima; Na kabla ya heshima hutangulia unyenyekevu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumwogopa Yawe ni mafundisho ya hekima; mbele ya kuheshimika inafaa kuwa munyenyekevu.