Proverbs 15:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyumbani mwa mwadilifu mna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu huishia na balaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyumbani mwa mwongofu mna limbiko kubwa, lakini mapato yake asiyemcha Mungu utawanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika nyumba ya mwenye haki kuna wingi wa mali, lakini mapato ya waovu yanaleta hasara.