Proverbs 15:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sadaka ya waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini sala ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huchukia sana dhabihu za waovu, bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa Bwana; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sadaka ya waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini sala ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huchukia sana dhabihu za waovu, bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huchukia sana dhabihu za waovu, bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sadaka ya waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini sala ya wanyofu humfurahisha Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipaji vya tambiko vyao wasiomcha humtapisha Bwana, lakini maombo yao wanyokao humpendeza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sadaka ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali maombi ya mtu mnyofu ni furaha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sadaka ya waovu ni chukizo kwa Yawe, lakini maombi ya watu wa usawa yanamufurahisha Mungu.