Proverbs 15:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenendo wa waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini Mungu huwapenda wale wafuatao mambo adili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia ya mtu mbaya ni chukizo kwa Bwana; Bali humpenda mtu afuatiaye wema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenendo wa waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini Mungu huwapenda wale wafuatao mambo adili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana huchukia sana njia ya waovu, bali huwapenda wale wafuatao haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali humpenda mtu afuatiaye wema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenendo wa waovu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini Mungu huwapenda wale wafuatao mambo adili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia yake asiyemcha humtapisha Bwana, lakini humpenda aukimbiliaye wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia ya mtu mbaya ni chukizo kwa BWANA; Bali humpenda mtu afuatiaye wema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenendo wa waovu ni chukizo kwa Yawe, lakini Mungu anawapenda wale wanaofuata mambo ya haki.