Proverbs 16:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu, bali jibu la ulimi hutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binadamu hupanga mipango yake, lakini kauli ya mwisho ni yake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Mtu huyatengeneza mambo ya moyo, lakini Bwana huyapa, ulimi unayoyajibu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwanadamu anapanga mipango yake, lakini neno la mwisho ni la Yawe.