Proverbs 16:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Mwenyezi Mungu; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya Bwana; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Vipimo na mizani za halali hutoka kwa BWANA, mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Vipimo na mizani za halali hutoka kwa bwana; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya BWANA; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu hutaka kipimo na mizani halali; mawe yote mfukoni ya kupimia ni kazi yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mizani na vipimo vya kweli hujua Bwana, vijiwe vyote vya kupimia vilivyomo mifukoni ni kazi zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mizani ya haki na vitanga vyake ni vya BWANA; Mawe yote ya mfukoni ni kazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mizani na vipimo vya kweli ni vya Yawe. Mawe yote ya kupimia katika mufuko ni kazi yake.