Proverbs 16:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni chukizo kubwa wafalme kutenda uovu, maana msingi wa mamlaka yao ni haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kupitia haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni chukizo kubwa wafalme kutenda uovu, maana msingi wa mamlaka yao ni haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha kifalme hufanywa imara kwa njia ya haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni chukizo kubwa wafalme kutenda uovu, maana msingi wa mamlaka yao ni haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kufanya maovu hutapisha wafalme, kwani kiti cha kifalme hupata nguvu kwa wongofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni chukizo kubwa kwa wafalme kutenda uovu, maana musingi wa mamlaka yao ni haki.