Proverbs 16:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uso wa mfalme uking'aa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uso wa mfalme ung'aapo, ina inamaanisha uhai, upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uso wa mfalme ung’aapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uso wa mfalme ukingaa kuna uhai; wema wake ni kama wingu la masika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uso wa mfalme ukiangaza hupatia watu uzima, akipendezwa hufanana na wingu lenye mvua ya masika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna uhai katika nuru ya uso wa mfalme, Na fadhili zake ni kama wingu la masika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uso wa mufalme ukiangaa, kuna uzima; kupendwa naye ni kama wingu la mvua kwa shamba.