Proverbs 16:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali Bwana huzipima roho za watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa, lakini Mwenyezi-Mungu hupima nia ya mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia zote za mtu hutakata machoni pake, lakini Bwana huzijaribu roho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia zote za mtu ni safi machoni pake mwenyewe; Bali BWANA huzipima roho za watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Matendo yote ya mutu yanaonekana kwake kuwa sawa lakini Yawe anapima nia ya mutu.