Proverbs 16:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayezingatia mafundisho atafanikiwa; heri mtu yule anayemtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye Bwana ana heri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayezingatia mafundisho atafanikiwa; heri mtu yule anayemtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ye yote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayezingatia mafundisho atafanikiwa; heri mtu yule anayemtumainia Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliangaliaye Neno huona mema, naye amwegemeaye Bwana ni mwenye shangwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayefikiri sana juu ya neno atafanikiwa. Heri mutu yule anayemutumainia Yawe.