Proverbs 16:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye hekima moyoni huitwa mwenye akili; neno la kupendeza huwavutia watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliye na hekima moyoni ataitwa mwenye busara; Utamu wa maneno huongeza elimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye hekima moyoni huitwa mwenye akili; neno la kupendeza huwavutia watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliye na hekima moyoni ataitwa mwenye busara; Utamu wa maneno huongeza elimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye hekima moyoni huitwa mwenye akili; neno la kupendeza huwavutia watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye moyo uerevukao kweli huitwa mtambuzi, midomo isemayo maneno matamu huendesha mafunzo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliye na hekima moyoni ataitwa mwenye busara; Utamu wa maneno huongeza elimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye hekima ndani ya moyo anaitwa mwenye akili; neno la kupendeza linawavuta watu.