Proverbs 16:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hekima ni chemchemi ya uhai kwake aliye nayo, bali upumbavu ni adhabu ya wapumbavu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao; Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hekima ni chemchemi ya uhai kwake aliye nayo, bali upumbavu ni adhabu ya wapumbavu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao; Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hekima ni chemchemi ya uhai kwake aliye nayo, bali upumbavu ni adhabu ya wapumbavu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kutumia akili humpatia mwenyewe kisima cha uzima, lakini mapigo ya wajinga huwapatia ujinga tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwake aliye nao; Bali kufundishwa kwa wapumbavu ni upuzi wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hekima ni chemichemi ya uzima kwa yule anayekuwa nayo, lakini upumbafu ni azabu ya wapumbafu.