Proverbs 16:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yake mfanya kazi hujifanyia kazi; Maana kinywa chake humtia bidii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi, njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yake mfanyakazi hujifanyia kazi; Maana kinywa chake humtia bidii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hamu ya chakula humhimiza mfanyakazi, maana njaa yake humsukuma aendelee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya msumbufu hujisumbukia, kwani kinywa chake humlemea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yake mfanya kazi hujifanyia kazi; Maana kinywa chake humtia bidii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njaa inamusukuma mutu kufanya kazi, maana tamaa ya kinywa chake inamupa bidii.