Proverbs 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkabidhi Mwenyezi Mungu lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkabidhi Bwana kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkabidhi BWANA lo lote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkabidhi bwana lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatakuwa kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwekee Mwenyezi-Mungu kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtupie Bwana yote utakayoyafanya! Ndivyo, mawazo yako yatakavyotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkabidhi BWANA kazi zako, Na mawazo yako yatathibitika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tegemea Yawe katika kazi yako, nayo mipango yako itafanikiwa.