Proverbs 16:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayekonyeza jicho kwa hila amepanga maovu; anayekaza midomo amekwisha nuia mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; naye akazaye midomo yake amenuia mabaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayekonyeza jicho kwa hila amepanga maovu; anayekaza midomo amekwisha nuia mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; naye akazaye midomo yake amenuia mabaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; naye akazaye midomo yake amenuia mabaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayekonyeza jicho kwa hila amepanga maovu; anayekaza midomo amekwisha nuia mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ayafumbaye macho yake huwaza mapotovu, akazaye kuifunga madomo yake amikwisha kutunga mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka; Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayekonyeza jicho amepanga kutenda maovu; anayekaza midomo amekwisha kutenda mabaya.