Proverbs 16:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kura hupigwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kura hupigwa kwa siri, lakini kila uamuzi wake hutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kura hupigwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kura hupigwa kwa siri, lakini kila uamuzi wake hutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kura hupigwa kwa siri, lakini kila uamuzi wake hutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kura hupigwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kura hupigwa katika mikunjo ya nguo, lakini mashuri yote hukatwa na Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kura hutupwa katika mikunjo ya nguo; Lakini hukumu zake zote ni za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kura inapigwa kwa kujua yatakayotukia, lakini uamuzi ni wa Yawe.