Proverbs 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha Mwenyezi Mungu mtu hujiepusha na ubaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha Bwana watu hujiepusha na maovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa, kwa kumcha BWANA mtu hujiepusha na ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha bwana mtu hujiepusha na ubaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa utii na uaminifu mtu huondolewa dhambi, kwa kumcha Mwenyezi-Mungu huepuka uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza huondolewa kwa huruma na kwa welekevu, kwa kumcha Bwana mtu huepuka penye mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa rehema na kweli uovu husafishwa; Kwa kumcha BWANA watu hujiepusha na maovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa wema na uaminifu mutu anaondoa uovu. Kwa kumwogopa Yawe anaepuka ubaya.