Proverbs 16:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia za mtu zinapompendeza Mwenyezi Mungu, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Njia za mtu zikimpendeza Bwana, Hata adui zake huwapatanisha naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia za mtu zinapompendeza BWANA, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia za mtu zinapompendeza bwana, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akipendezwa na mwenendo wa mtu, huwageuza hata adui zake kuwa marafiki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Njia za mtu zikimpendeza Bwana, hupatanisha naye hata wachukivu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Njia za mtu zikimpendeza BWANA, Hata adui zake huwapatanisha naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akipendezwa na mwenendo wa mutu, anawageuza hata waadui zake kuwa warafiki.